Wakwanza kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa PPFT Taifa Askofu D.Gamba wakiwa pamoja na Mwenyekiti wa PPFT Taifa
Wapili kutoka kulia ni Mwenyekiti wa PPFT Taifa Askofu Pius Erasto Ikongo. Wakwanza kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti Taifa Askofu Wilson Mwawoga. Wakwanza kutoka kulia ni Mwenyekiti wa PPFT Mkoa wa Dar Es Salaam, Askofu Rachel. Wapili kotoka kushoto ni Mwenyekiti wa PPFT Mkoa wa Kilmanjaro Askofu Molar